Posts

Image
Tono comedian ni msanii anefanya sanaa ya kuigiza serious comedy na stand up comedy ya jukwaa . Ili kuona kazi zake mtafute katika mitandao ya kijamii kama YouTube kama Tono akiwa na Mr Mbaa Na pia kesho atakuwepo kwatika interview katika redio Country Fm live kuanzia saa 12:00 mpaka saa 01:00 Pia saa nane atakuwepo Isimila hotel akifanya stand up comedy.
Image
Ivan classic ni msanii anaekuja kwa kasi katika hili gemu la muziki wa bongofleva akiwa anaiwakilisha vizuri Iringa .